Tuesday, April 15, 2014

WATU MBALIMBALI WAMJULIA HALI BW. ALEX MSAMA

 
1
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama katikati akiwa katika picha ya pamoja na baba yake mzazi Mzee Mwita na mmoja wa waratibu wa tamasha la pasaka Bw. wakati walipofika katika hospitali ya muhimbili ili kumjulia hali kutokana na majeraha na maumivu ya ajali aliyoipata wiki iliyopita wakati akielekea mkoani Dodoma kwa shughuli zake, watu wengi wamemtembelea hospitalini hapo leo akiwemo Askafu Bruno Mwakibolwa wakanisa la EAGT ,Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba na watoto wa kituo cha watoto yatima cha Mwandaliwa kutoka Mbweni jijini Dar es salaam.(FULLSHANGWE NA KIKOSIKAZI CHAKE TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA MUNGU AKUPONYE HARAKA UREJEE KATIKA KAZI YA KUMTUMIKIA MUNGU) 2Alex Msama akifungua mlango wa chumba chake alimolazwa ili kusalimiana na baadhi ya wageni waliomtembelea hospitalini hapo. 3Alex Msama akitoka nje ya chumba chake alimolazwa ili kusalimiana na baadhi ya wageni waliomtembelea hospitalini hapo. 4

No comments: