Tuesday, June 30, 2015

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Simutv: CHADEMA waendeleza harakati mkoani Mtwara huku wakihamasisha wananchi kushiriki kupiga kura na kutumia shahada zao vema kuchagua viongozi watakao wafaa. http://youtu.be/N-QymE5jdhE  

Simutv: Hospitali ya Temeke yapatiwa msaada kufuatia upungufu na vitanda na rasilimali watu kutokana na kuongezeka kwa wagonjwa hospitalini hapo. http://youtu.be/P7kqz71B4ZM

Simutv: Afisa mkaguzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa huduma wa nishati na madini Suleiman Shabani atahadharisha wamiliki wa mafuta kutohodhi nishati hiyo kwa nia ya kuyauza baadae. http://youtu.be/j17Ft_Lo0VM

Simutv: Ushirikiano na maelewano baina ya Tanzania na watu mataifa mengine ndio msingi imara wa kukuza mahusiano ya kibiashara yafahamika  katika halfa iliyoandaliwa na shirika la ABITAT. http://youtu.be/rpl0ap9rueo   

Simutv: Manispaa ya Ilala yaweka mpango wa majaribio utakao wawezesha wafanya biashara wadogo kufanya biasahra zao bila usumbufu.http://youtu.be/PvJMno36t4c

Simutv: Bunge limepitisha muswada wa sheria kufuta sheria ya  Benki ya Posta Tanzania ya mwaka 2015 ili iweze kujiendesha pindi itakapokuwa sheria kamili. http://youtu.be/RKUoZnXQGew

Simutv: Baadhi ya wananchi mkoani Geita waiomba tume ya Taifa ya uchaguzi nchini NEC kuongeza muda wa uandikishaji ili watu wote wenye sifa ya kupiga kura kujiandikisha kupitia BVR. http://youtu.be/Zb-ID1RUanU 

HABARI | AZAM TV
Simutv: Jeshi la polisi mkoani wa Pwani lawashikilia watu 18 na kwaajili ya upelelezi kufuatia matukio ya uhalifu. http://youtu.be/6zRIK8Vw0KJ4

Simutv: Mhe.Edward Lowassa amehitimisha safari yake ya kutafuta wadhamini mkoani Morogoro  ukiwa ni mkoa wa 31 huku akijinadi kuwa mbadala wa raisJakaya Kikwete. http://youtu.be/vWOwRtbVNT8

Simutv: Mtangaza nia Dk. Hamisi Kigwangala amefika mkoani Mbeya kuzungumza na wadhamini wake akielezea dhana ya ujana katika swala la uteuzi wa mgombea wa urais. http://youtu.be/d_Z6K2Iaotg

Simutv: Manispaa ya mkoa wa Kagera yafanikiwa kuwaandikisha zaidi ya watu million 1 sawa na asilimi 85% ya malengo ya uandikishaji ya wapiga kura huku wakikabiliwa na changamoto ya wahamiaji haramu. http://youtu.be/3AH-9C5s3kE

Simutv: Jeshi la polisi wilayani Mvomero lawashkilia watu 29 katika zoezi la msako wa kuwatafuta watuhumiwa wa tukio la ugaidi.http://youtu.be/VMe7PWJN8ZE

Simutv: Kufutewa kwa leseni kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kwa kusitisha kuuza mafuta wakisubiri kupanda kwa bei ya mafuta wavaliwa njuga. http://youtu.be/qCbgfOd5JA8


HABARI |STAR TV

Naibu waziri wa nishati na madini Mhe. Charles Mwijage asema  serikali kupitia EWURA yaanza ukaguzi ili kubaini wafanyabiashara wanaosubiri kupanda kwa tozo la kodi. http://youtu.be/hvrahcxwqEY

Simutv: Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya Taifa TANAPA Alllan Kijazi asema kudhibiti ujangili kunahitaji ushirikiano na wa watanzania wote ili kulinda rasilimali ya Taifa kwa ajili ya vizazi vilivyopo na vijavyo. http://youtu.be/rTRHZtqh_do

Simutv: Mgombea urais CCM Luhanga Mpina amesema kujitokeza kwa wagombea wengi wa uraisi ni ishara ya kukua wa demokrasia katika chama hicho. http://youtu.be/n3Io8TvH_fA

Simutv: Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kukamilisha mchakato wa kutangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM idadi kubwa ya watangaza nia yakosolewa. http://youtu.be/RBUZYpxfsfs

Simutv: Serikali ya Tanzania na Zambia zasaini makubaliano ya kulinda ukanda wa misitu ya miombo kudhibiti uvunaji holela wa misitu.http://youtu.be/pZwLaY7cY8Y

HABARI |TBC
Bunge lapitisha muswada wa kufuta sheria ya benki ya Posta Tanzania wa mwaka 2015 ili kuboresha ufanisi wa utendaji wa benki hiyo.http://youtu.be/ewdPkHBPK_0

Wazee na Wanawake wajawazito wilayani Bunda waomba kupewa kipaombele ili waweze kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.http://youtu.be/dABSrBCIJak

Wafugaji  kata ya Njoro Kiteto mkoani Manyara watarajia kunufaika na mradi wa lambo kwa matumizi ya mifugo na binadamu lililojengwa kwa gharama ya za milliono 590. http://youtu.be/YTZds9szZoY

Naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmood Mugimwa awataka wakuliwa  Kigoma kuvuna mazao yao ifikapo Agosti 30 mwaka huu ipi kupisha shughuli za ufugaji nyuki sehemu hizo za hifadhi. http://youtu.be/Nl0-sjD_bqA

Watalii 19  kutoka katika nchi zaidi ya 6 duniani wamekusnya zaidi ya shilling million 800 ili kwa lengo la kuwachangia watoto zaidi ya 2000 wanaoishi katika maeneo yanayozungukwa na migodi. http://youtu.be/Ck3Fl4dM27A

No comments: