Thursday, December 10, 2015

Mjengwablog Kwenye Mtandao Mabloga 18 Afrika Uliozinduliwa Johannesburg...

Ndugu zangu,
Jana umezinduliwa pale Johannesburg, mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; ‪#‎AfricaBlogging‬ . Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/

No comments: