tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post48136223656114079..comments2024-03-08T09:19:44.165+03:00Comments on MRISHO'S BLOG: ASALI: KIBOKO YA UNENE UNAOWAKERA WANAWAKE-2Unknownnoreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-37444859336984698072017-08-11T18:20:37.446+03:002017-08-11T18:20:37.446+03:00And you are what you digest alsoAnd you are what you digest alsoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17075780631066146238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-26772826387503061622017-08-11T18:19:59.201+03:002017-08-11T18:19:59.201+03:00And you are what you digest alsoAnd you are what you digest alsoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17075780631066146238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-45085665656780386172010-12-07T19:24:47.529+03:002010-12-07T19:24:47.529+03:00utapunguza kilo 13 kwa siku ngapi inategemea na we...utapunguza kilo 13 kwa siku ngapi inategemea na wewe mwenywe utatumia vp asali hiyo, utafanya mazoezi kiasi gani na utafuata masharti mengiine kiasi gani...hakuna jibu la moja kwa moja..inategemea mwenyewe.

ukimakamilisha lengo lako unatakiwa kuacha kutumia. Kutokunenepa kutategemea na wewe mwenywe utaendelea na staili ipi ya maisha...you are what u eat..!

tunachoandika hakina sha na siyo kigeni, wataalamu walishafanya utafiti kabla mimi na wewe hatujazaliwa...still u can do ur own research....just google: Honey and cinnamon.....Mrisho's Photographyhttps://www.blogger.com/profile/03624657308303828617noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-82767987342766188672010-12-07T14:49:39.672+03:002010-12-07T14:49:39.672+03:00hongera kwa moyo wako wa kuwasaidia watu wanene ka...hongera kwa moyo wako wa kuwasaidia watu wanene kama sisi kupungua bt mm nna maswali kadhaa naomba unijibu.kwanza itamchukua mtu mda gani mpaka mtu aweze kupunguza kilo 13 kwa kutumia hiyo tiba yako?pili ni kwamba mtu akishapunguwa kilo anazotaka hiyo asali aiache au ndo ainywe maisha yake yote ili asinenepe tena?na pia hiyo tiba ina usalama kwa afya ya mtu kwa asilimia ngapi?ni hayo tu ntashkuru sana kama utanijibu maswali yangu kwa haraka,kazi njemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-86531487701884808482010-11-24T16:46:15.085+03:002010-11-24T16:46:15.085+03:00..ushauri wako wa kuweka link kwa humu nimeuzingat.....ushauri wako wa kuweka link kwa humu nimeuzingatia, nitakuwa nikifanya hivyo matoleo yajayo au wakati namaliza mada hii...kwani ili kuwa na information za kutosha, ni lazima upate taarifa kutoka sources mbalimbali na siyo moja tu..hivyo zitakuwepo link kadhaa na mtaweza kujisomea kwa undani zaidi kwa wakati wenu.....kuhsu mimi...siyo Mkurugenzi Msaidizi..umechanganya mambo...asanteni.Mrisho's Photographyhttps://www.blogger.com/profile/03624657308303828617noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-58581065547709012332010-11-24T13:00:04.155+03:002010-11-24T13:00:04.155+03:00Kaka Mrisho ebu nambie tiba hii na kwale wazeia wa...Kaka Mrisho ebu nambie tiba hii na kwale wazeia wa kinywaji,itafanya kazi kweli??Mkosamalihttp://michuzijr.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-79734187580844374582010-11-23T20:44:44.891+03:002010-11-23T20:44:44.891+03:00"Ni lazima ieleweke kwamba vitu vitatu lazima..."Ni lazima ieleweke kwamba vitu vitatu lazima vifanyike kwa pamoja ili kupunguza unene kama unavyokusudia. Kitu cha kwanza ni kula vyakula sahihi na kwa kiasi kidogo, pili kula asali halisi na mbichi kila siku kabla ya kulala na tatu kufanya mazoezi au kazi nzito ili kutoa kalori mwilini. Umuhimu wa asali hapa ni ule uwezo wake wa kuyeyusha mafuta mwilini kwa haraka ukiwa umelala na wakati huo huo kuupa mwili stamina."

Ushauri sahihi. Ni lazima kufanya diet na kufanya mazoezi. Asiye mtu anayeshinda baa akila nyama choma na kurudi nyumbani kulala akasema kwamba atakula asali tu na atapunguza unene. KULA CHAKULA KIDOGO CHENYE AFYA + MAZOEZI and then hii asali.

Mwisho: Jenga tabia ya kutoa link ambako watu wadadisi kama mimi tunaweza kusoma haya maoni au tafiti hizi. Naona hata mzozo wa kwanza kuhusu hii topic ulizuka baada ya yule Dr (a.k.a mbeba maboksi wa Houston Texas) kudai source ya hizi info unazoweka hapa. Nadhani hili ni jambo la msingi na usilipuuze. Weka link ili watu wakajisomee zaidi huko.

Otherwise, good job kwa kujaribu kusaidia.

Finally: wewe ndiye Mkurugenzi msaidizi wa Global Publishers au nimechanganya mambo?Anonymousnoreply@blogger.com