tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post5634326846490142118..comments2024-03-08T09:19:44.165+03:00Comments on MRISHO'S BLOG: WALIOMUUA AMINA KAZI KWAO!Unknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-39098210898427875672007-07-23T17:33:00.000+03:002007-07-23T17:33:00.000+03:00MMEMUUA NYIE NA UDAKU WENUMMEMUUA NYIE NA UDAKU WENUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-91933188851277064632007-07-18T00:33:00.000+03:002007-07-18T00:33:00.000+03:00Ndugu Mrisho nashukur kwa kuskilza malalamiko yang...Ndugu Mrisho nashukur kwa kuskilza malalamiko yangu na kuyafanyia kazi,mimi ni mdau niliesema jana mbona unatupa vichwa vya habari tu?na sio kama mwanzo ulikuwa ukitupa habari kamili,Hivo asante kwa kuniskiliza au kutuskiliza wadau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-64754573803922395282007-07-17T11:46:00.000+03:002007-07-17T11:46:00.000+03:00Bwana Abdallah, mimi nina swali. Nataka nifahamu k...Bwana Abdallah, mimi nina swali. Nataka nifahamu kama "KWA MFANO" kifo cha Mh.Amina Chifupa kikiwa kimetokana na kurogwa, sasa watu waliomroga watakamatwa vipi? ushahidi utakuwepo kweli? kumbuka kwamba tunaongelea mambo ya ulimwengu wa giza.(ulimwengu usioonekana katika macho ya ki binadamu).KESI ITAKUWAJE???Anonymousnoreply@blogger.com