tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post6982914606972690963..comments2024-03-08T09:19:44.165+03:00Comments on MRISHO'S BLOG: FUMANIZI!!Unknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-81716764715632356802009-05-21T00:11:11.783+03:002009-05-21T00:11:11.783+03:00nafikiri, kwa sababu mashoga hapo tz bado hawana h...nafikiri, kwa sababu mashoga hapo tz bado hawana haki za kutosha; hawana budi kufanya mambo yao siri siri hata katika maeneo ya makaburi! poleni nyie! je, mshapata kuiona filmu ya kimarekani "brokeback mountain"?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5658156127403086768.post-4410507109641360452007-07-31T17:09:00.000+03:002007-07-31T17:09:00.000+03:00Mmh kwa kweli hili fumanizi ni la aina yake,sasa h...Mmh kwa kweli hili fumanizi ni la aina yake,sasa hawa watu kwa nin walienda kufanya ufska wao makaburini?au kuna mambo ya kishirikina?Najua camera hii si mwingne bali ni Issa Mnally,wape hi kina Hamida,Marry na Shamim!!<BR/><BR/>Kingine sijui kwa nin hii blog yako kila nikitaka kuweka comment huwa inasumbua kufunguka,embu jaribu kucheki na wataalam.Nadhani ni tatizo ndo maana watu wengi wanashindwa kutoa comments zao.Anonymousnoreply@blogger.com