Pages

Monday, August 6, 2007

BBA LAUNCH AT SEA CLIF

Ni hivi..... BBA itakuwa ikipatikana Channel 37 saa 24 kila siku, na show ya nusu saa kila siku M-net... Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Lucy Kwhele.. akiteta nami uzinduzini jana sea cliff Hotel
Mmhh...., Nikiwa na mrembo, Miss TZ 2, Jokate Mwegelo tukiwakilisha uzinduzini BBA 2 jana Sea Clif hotel

2 comments:

  1. Abby COOL well done' tutakutanagzaa mpaka
    kielewekee mkubwaaaa..Usikonde

    ReplyDelete