Pages

Wednesday, August 8, 2007

HODI ULIMWENGU WA MUZIKI TANZANIA!

Huyu ni mtoto mwenye umri wa miaka 8 tu, lakini tayari ameonesha kipaji cha kuimba na ana nyimbo lukuki za bongo flava, anaitwa Miriam Edward..mzazi wake mzee Mwakionde anaomba wafadhali wampe sapoti..!
Mzee Kamarade.. Ali Choki, mambo yake siku hizi supa, ...anakaa 'Kinondoni, mtaa wa tatu kutoka kwa Manyanya'...!
Diouf.....rapa wa Chipolopolo! yaonekana ameanza kupendeza, wadau wanadai siku hizi habwii tena

7 comments:

  1. ALI CHOKI, TUMBO AIBU ILOOO!! DAMN, HUO NI UTAPIA MLO. ACHENI KUNYWA POMBE CHAFU

    ReplyDelete
  2. Bongo wengi wakiwa na kitambi wanaona maisha wameyapatia kumbe malazi tupu.

    ReplyDelete
  3. hakuna malazi afya hiyo acheni wivu nyinyi vimbaumbau

    ReplyDelete
  4. ALI CHOKI umepima ngoma lakini au unaendekeza ubishoo wako. Kitambi sio deal kaka

    ReplyDelete
  5. Ehhh !!!baba peleka mtoto chule aweke masomo lukuki kichani siyo Bongo fleva,itamsidia nini ktk masha yake somesha baba.Ali tumbo hilo kisukari chakunyemelea na BP usiseme toa hilo tumbo.

    ReplyDelete
  6. Hata mimi nashangaa ndugu zangu!! Yaani mwanaume unakuwa na tumbo kama mjamzito halafu unaona ni ufahari?? tena unazidi kulivimbisha na kutanguliza kifua mbele!! Ama kweli kazi ipo. Mazoezi ni muhimu Ally Choki, kwani bado tunakuhitaji katika burudani.

    ReplyDelete
  7. Hivi ni maradhi au malazi .Jamani tujitahidi na hiki kiswahili ah inakera mnavyojitia kupiga madongo huku mnabofoa

    ReplyDelete