Huyu ni mtoto mwenye umri wa miaka 8 tu, lakini tayari ameonesha kipaji cha kuimba na ana nyimbo lukuki za bongo flava, anaitwa Miriam Edward..mzazi wake mzee Mwakionde anaomba wafadhali wampe sapoti..!
Mzee Kamarade.. Ali Choki, mambo yake siku hizi supa, ...anakaa 'Kinondoni, mtaa wa tatu kutoka kwa Manyanya'...!
Diouf.....rapa wa Chipolopolo! yaonekana ameanza kupendeza, wadau wanadai siku hizi habwii tena
Ehhh !!!baba peleka mtoto chule aweke masomo lukuki kichani siyo Bongo fleva,itamsidia nini ktk masha yake somesha baba.Ali tumbo hilo kisukari chakunyemelea na BP usiseme toa hilo tumbo.
Hata mimi nashangaa ndugu zangu!! Yaani mwanaume unakuwa na tumbo kama mjamzito halafu unaona ni ufahari?? tena unazidi kulivimbisha na kutanguliza kifua mbele!! Ama kweli kazi ipo. Mazoezi ni muhimu Ally Choki, kwani bado tunakuhitaji katika burudani.
ALI CHOKI, TUMBO AIBU ILOOO!! DAMN, HUO NI UTAPIA MLO. ACHENI KUNYWA POMBE CHAFU
ReplyDeleteBongo wengi wakiwa na kitambi wanaona maisha wameyapatia kumbe malazi tupu.
ReplyDeletehakuna malazi afya hiyo acheni wivu nyinyi vimbaumbau
ReplyDeleteALI CHOKI umepima ngoma lakini au unaendekeza ubishoo wako. Kitambi sio deal kaka
ReplyDeleteEhhh !!!baba peleka mtoto chule aweke masomo lukuki kichani siyo Bongo fleva,itamsidia nini ktk masha yake somesha baba.Ali tumbo hilo kisukari chakunyemelea na BP usiseme toa hilo tumbo.
ReplyDeleteHata mimi nashangaa ndugu zangu!! Yaani mwanaume unakuwa na tumbo kama mjamzito halafu unaona ni ufahari?? tena unazidi kulivimbisha na kutanguliza kifua mbele!! Ama kweli kazi ipo. Mazoezi ni muhimu Ally Choki, kwani bado tunakuhitaji katika burudani.
ReplyDeleteHivi ni maradhi au malazi .Jamani tujitahidi na hiki kiswahili ah inakera mnavyojitia kupiga madongo huku mnabofoa
ReplyDelete