Thursday, January 1, 2009

HONGERA WAJAMENI!

Baadhi ya wasanii wa Original Comedy wakipongezana baada ya kuuona mwaka 2009 katika ukumbi wa Vatican City, Sinza jijini Dar es salaam ambako Akudo Impact walikuwepo!

No comments: