Tuesday, June 9, 2009

HEBU SIKIA HII...!

Wadau, mimi si muadhirika wa hili tukio ila nimeona niwafordie ili muwe makini na watu hasa tusiowafahamu


Hi Team!
Hope you all fine. Jamani napenda kuwapa tahadhari wenzangu kutokana
na kilichonipata Jana (sunday 31 May 2009). Ilikuwa hivi: Nilikwenda
Mlimani City kufuata Salary yangu . Nilikomba kiasi chote (si mnajua
pesa yenyewe kiduchu na daima huwa haitoshi). Nikaondoka bila hata
kuangalia left or right kuepusha tamaa ya jengo lile.
Baada ya kujipakia ktk daladala kuelekea kwangu TABATA. niliketi seat
ya dirishani na mwanamke mmoja aged kidogo yuko kama lateforties
(48,49....) . Baada ya kutoka pale kufika kituo cha superstar that
aged woman waved her hand usoni kwangu. Suddenly my body was heavy, my
lips went more heavier . I couldn't move a hand or anything. Nilistuka
kituo cha RELINI (mwananchi) that woman alinigusa begani akaniambia
NASHUKA KWA HERI then kama vile nimestuka usingizini nikamwambia OK.
There after fahamu zikanirudia kutazama my handbag iko wazi wallet
yenye SENT zangu imefunguliwa na hakuna sent tano. Nikawaambia abiria
wenzangu "nimeibiwa". Ilibidi driver asimamishe bus kusikiliza huo
wizi na ikibidi bus liende police. abiria wenzangu wakanieleza kuwa
mimi na that woman tulikuwa tunazungumza vizuri muda wote kama watu
tunaofahamiana na hata manaeno yangu walinisikia nikimwambia huyo
woman kuwa pesa ziko LAKI NNE NA ISHIRINI. kusema kweli nilikuwa na
kiasi hicho kweli na ilinibidi kukubali kuwa ni kweli nimeshaibiwa kwa
mimi mwenyewe kutoa ushirikiano wa hali ya juu. kila mtu mle katika
daladala hakuamini kuwa ati nimeibiwa na yule SHOSTI wangu. Wengine
walidhani ninataka kuwatapeli na kuwasingizia. Kumbe muda wote mimi
najiona mzito kufanya chochote lakini machoni kwa wengine nilikuwa
kawaida tena very cooperative. Mshahara wangu wote umeondoka kwa that
style.
My advice jamani wizi huu umefikia hatua ya ajabu zaidi ambayo
sikuwahi kufikiria. Tahadhari za ziada zitakazokujia usizipuuze
zitakusaidia Dunia imekuwa tambara bovu. Tumuombe Mungu atusaidie
Frankly speaking NIKO CHALI sio mchezo. mwezi huu nimefulia tena bila
sabuni. Inaniuma sana kuwa nitaishije this month. Yote namwamchia
MUNGU naomba awalinde na nyie pia wambieni ndugu jamaa na marafiki
muwapendao wakao chonjo.
(BIDII)

No comments: