Huyu ni mwanadada maarufu Bongo na ni miongoni mwa wanawake wanaotawala sana Media. Kwa sasa yuko nchini Marekani kwa 'vekesheni' maalum, can somebody tell me WHO IS THIS GIRL?
huyu ni shyrose bhanji mhh kapendeza!!! Ila huyo jamaa kachemka shyrose hana usukuma bwana asili yake ni mara. wa2 wengine bwana kutafuta sifa tu kama hujui vitu kwanini unakurupuka?
swali limeulizwa huyu ni nani? mwingine anajibu mara oh ni msukuma ni fiacee wa jafarai inahusu? kama ungekuwa mtihani kweli rafiki ungefeli...unapoulizwa swali jaribu kujibu unachoulizwa ndugu yangu. Nasema hivi kwa vile watu wengi nimeona wanafuatilia sana maisha yake ya ndani haihusu
Likizo njema Shy-Rose asante kwa kutuhabarisha. Nyote yako inang`aa ndio maana unapendwa na kuchukiwa @ the same tyme. Kiukweli wengi wanakukubali ila hawataki kusema ukweli. Orange country, CA
huyu ni Shyrose Banji ndugu yangu kwa mimi nilivyovuta taswira ya picha hii kwa haraka
ReplyDeletehuyu ni yule Shyrose Banji kwa mimi nilivyovuta taswira ya picha hii kwa haraka
ReplyDeletehuyu ni mtoto wa kisuma pale mwanza anaitwa shyrose feance wa jafar
ReplyDeleteNi Shyrose Banji. Ni mjumbe wa NEC pia.
ReplyDeletepole na kazi,naomba mnitafutie msanii sinta
ReplyDeletehuyu ni shyrose bhanji mhh kapendeza!!! Ila huyo jamaa kachemka shyrose hana usukuma bwana asili yake ni mara. wa2 wengine bwana kutafuta sifa tu kama hujui vitu kwanini unakurupuka?
ReplyDeleteshyrose bange
ReplyDeletembona mimi nasikia ni baniani huyu?
ReplyDeletembona mimi nasikia ni baniani huyu?
ReplyDeletewrong Qn,she is not a girl,she is old enough. Shyrose B
ReplyDeleteHuyu ni Shy-Rose Bhanji
ReplyDeletehuyu mrembo ni shyrose bhanji...mhh siyo siri kapendeza ...mdau LA.
ReplyDeleteTHE GAL IS SHY-ROSE BHANJI. SHE IS FIIIIIIIIINE
ReplyDeleteLAZIMA ATAKUWA SHYROSE HUYU...LIKIZO KWELI NZURI ANAONEKANA KATULIA..HONGERA MREMBO
ReplyDeletethis gal must be shyrose bhanji namuonaga sana kwenye media. S
ReplyDeleteswali limeulizwa huyu ni nani? mwingine anajibu mara oh ni msukuma ni fiacee wa jafarai inahusu? kama ungekuwa mtihani kweli rafiki ungefeli...unapoulizwa swali jaribu kujibu unachoulizwa ndugu yangu. Nasema hivi kwa vile watu wengi nimeona wanafuatilia sana maisha yake ya ndani haihusu
ReplyDeletehuyu ni shyrose wa bhanji, mtoto matata sana huyu. very strong lady, kapendeza juu mpaka chini c mchezo babake!!!
ReplyDeleteSiyo mjumbe wa NEC ni mjumbe wa baraza kuu la UVCCM na uwt.
ReplyDeleteShy-Rose huyu sizani kama kuna mtu hamfahamu kazi yake nzuri anajitahidi sana
ReplyDeleteAsili yake kamili ni point 5. 50% indian na 50 ingine mbongo wa mara ndio maana katoka mzuri kiivyo
ReplyDeleteLikizo njema Shy-Rose asante kwa kutuhabarisha. Nyote yako inang`aa ndio maana unapendwa na kuchukiwa @ the same tyme. Kiukweli wengi wanakukubali ila hawataki kusema ukweli. Orange country, CA
ReplyDelete