Saturday, November 5, 2016

AGA KHAN YAWAPIGA MSASA WABUNGE, WADAU UBORESHAJI ELIMU NCHINI

 Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Kitilya Mkumbo akielezea kwenye mkutano wa wadau wa elimu mjini Dodoma, mambo mbalimbali yanayokwamisha maendeloeo ya elimu na jinsi ya kuiboresha. Mkutano huo ambao pia walishirikisha wabunge umeandaliwa na  Chuo Kikuu cha Aga khan (AKU).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

 Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu na Mbunge

MKURUGENZI MTENDAJI WA TANESCO MHANDISI FELCHESMI MRAMBA, ATEMBELEA VITUO VIPYA VYA KUPOOZA NA KUSAMBAZA UMEME VYA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (katikati), akizungumza wakati alipotembelea kituo kipya cha kupooza na kusambaza umeme cha City Centre jijini Dares Salaam, Novemba 5, 2016. Kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Miradi ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme wa Shirika hilo, Mhandisi Gregory Chegere, na kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Shirika hilo kanda ya Dar es Salaam na Pwani Mhandisi, Mahende Mgaya.
Mhandisi Mramba, akizungumza na waandishi wa habari kwenye

FILAMU NA TAMTHILIA ZA KITANZANIA ZAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM ZITARUSHWA NA DSTV

Mwenyekiti wa Bodi ya DSTV, Balozi Ali Mpungwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Filamu na Tamthilia za Kitanzania zitakazorushwa na DSTV kupitia Chaneli yao kuanzia Maisha Magic Bongo Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
 Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo

Thursday, November 3, 2016

WANAFUNZI WA NELSON MANDELA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUSAIDIA KUTATUA MATATIZO YA MAZINGIRA, MAJI

Pichani juu na chini ni Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya EU kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland Van De Geer akihutubia wanafunzi wa vyuo mbalimbali katika ukumbi Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela ambapo alifanya ziara ya kutembelea Chuo jijini Arusha.(Picha na Ferdinand Shayo).

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela Profesa Karoli Njau akifafanua jambo katika ziara ya Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)

EXCLUSIVE: TIMIZA NDOTO YAKO NA WEZESHA MZAWA, NUNUA GARI, KIWANJA, BAJAJ WATAKULIPIA!

wekeza
Kampuni yaako ya Wezesha Mzawa inakupa fursa ya kumiliki kitu chochote ukitakacho maishani.
Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia halafu wewe utatulipa taratibu ndani ya muda wa miezi 6 hadi miaka 5
Mfano wa vitu vya kununua ni Bajaj, kiwanja, nyumba, Pikipiki, Sofa, Friji, gari, Kompyuta, fenicha za ndani n.k
Kwa maelezo zaidi: Fika ofisini kwetu Sinza -Afrikasana karibu na kituo cha basi au tupigie +255 752 680 666

UNESCO YAKEMEA SHERIA ZINAZOKANDAMIZA UHURU WA HABARI

WAKATI Bunge la Tanzania wiki hii linatarajiwa kujadili na kupitisha muswada wa habari, Shirika la Umoja wa mataifa la Elimu, sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehadharisha juu ya uwapo wa sheria zinazotishia uhuru wa vyombo vya habari.

Akizungumza katika kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa idara ya mawasiliano na habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay alisema katika utekelezaji wa maendeleo endelevu sekta ya habari ni muhimu na hivyo watendaji wake wanatakiwa kuwekewa mazingira huru ya kiutendaji.

Serikali ya Tanzania imepeleka muswada wa habari ambao unalalamikiwa na wadau wa habari kwamba haukupatiwa muda wa kutosha wa kujadiliwa na kuondolewa kwa vipengele ambavyo vinawanyima waandishi wa habari uwezo wa kuandika.
Mkuu wa idara ya mawasiliano na habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua kongamano

Wednesday, November 2, 2016

TANESCO YATOA TAARIFA KWA WATEJA WAKE WA ILALA NA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM



MKUTANO MKUU NA KONGAMANO LA WAPIMAJI ARDHI LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akifungua mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi linalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia leo Novemva 2-3, 2016.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akionyeshwa moja ya vifaa vinavyotumika katika upimaji wa Ardhi mapema leo katika Mkutano mkuu na Kongamano la Wapimaji Ardhi unaofanyika jijini Dar es Salaam.

UN NA EU ZATOA EURO LAKI NANE KUSAIDIA WATOTO WA KIKE

Shirika la Umoja wa Mataifa la UN kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) wametoa Euro laki nane kuwasaidia watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu na wahanga wa mimba za utotoni waishio kwenye kituo cha Faraja Young Women Development Unit .

Mwakilishi wa EU ambaye ni Afisa Miradi Anna Muro amesema kuwa msaada huo utasaidia kuwawezesha wanawake Waweze kushiriki kwenye maendeleo ya jamii .

Akizungumza katika kituo hicho kinacholelea watoto 30 wenye watoto ambao walipata mimba katika umri mdogo na kushindwa kuendelea na masomo ambapo wanasaidiwa na kituo hicho kupata elimu ya ufundi wa ushonaji na mapishi ili kupata stadi zitakaowasaidia kujikwamua kimaisha.
Mwasisi wa Shirika la Faraja Young Women Development, Martina Simon Siara akitoa maelezo kwa Maafisa wa UN na EU wakati walipotembelea kituo shirika hilo. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Amon Manyama, Mwakilishi wa EU ambaye ni Afisa Miradi, Anna Muro (wa pili kulia) pamoja na Mtaalamu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Hoyce Temu (kulia).(Picha na Ferdinand Shayo).

Anna amesema kuwa watoto wengi wanakabiliwa na changamoto ya usafirishaji wa binadamu jambo ambalo ni kinyume cha haki za binadamu na haki za watoto hivyo amewataka Jamii na serikali kupiga vita usafirishwaji wa watoto.

Mwakilishi wa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Amon Manyama amewataka watoto wanaoishi katika kituo hicho kutumia fursa ya mafunzo wanayoyapata kujiendeleza kielimu na kukua kiuchumi ili kutokomeza umasikini na mimba za utotoni kwa watoto wa kike.

Muasisi wa kituo hicho Martina Simon Siara ameshukuru ugeni kutoka UN na EU uliofika kituoni hapo kwa ajili ya kutazama shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho pamoja na kuwaunga mkono ili waweze kuongeza tija katika kuisaidia jamii.
Mwakilishi wa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Amon Manyama

Magazeti November 2, 2016

Tuesday, November 1, 2016

WASHINDI 16 SUPER NYOTA TIGO FIESTA WATAJWA, FAINALI YA MWISHO KUFANYIKA NOVEMBA 5, 2016 JIJINI DAR ES SALAAM

 Mratibu  wa Mradi wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kuwataja  washindi 16 Super Nyota Tigo Dar es Salaam leo. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo, Nickson George na katikati ni Mshindi wa shindano, Galla Mligo 'Galla Bway' kutoka Dar es Salaam ambaye alizungumza kwa niaba ya washindi wote.
 Mratibu wa shindano hilo, Nickson George  (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.
 Mshindi wa shindano, Galla Mligo 'Galla Bway'

SBL YAZINDUA KAMPENI YA UNYWAJI KISTAARABU MKOANI ARUSHA


Meneja wa SBL wa Uwajibikaji Katika Jamii, Hawa Ladha akitoa elimu kwa wadau mbalimbali  walioshirki katika mkutano katika uzinduzi wa kampeni ya unywaji kistaarabu  uliofanyika katika Hotel ya Kibopalace mapema wiki iliyopita 

Askari wa barabarani kutoka wilaya za mbali mbali za mkoa wa Arusha ambao pia walihudhuruia mkutano huo  wa uzinduzi wa kampeni ya unywaji wa kistaarabu iliyozinduliwa na SBL na kufanyika katika Hoteli ya KiboPalace katika mkoa wa Arusha mapema wiki iliyopita.

Semina ya unywaji kistaarabu  ikiendelea 

Monday, October 31, 2016

Kitabu kinachoelezea mbinu zinazotumiwa na watu matajiri kufanikiwa kimaisha chazinduliwa Dar

 Kitabu kinachoelezea mbinu zinazotumiwa na watu matajiri kufanikiwa kimaisha chazinduliwa Dar



Imeelezwa kwamba watu wengi wamekuwa wakishindwa kufanikiwa kimaisha kutokana na kutokuwa na mipango ya kimaisha ambayo wanaweza kuifanyia kazi ili waweze kufanikiwa kama jinsi ilivyo kwa baadhi ya watu ambao wanaonekana kuwa na mafanikio.

Hayo yamesemwa na Mwandishi wa kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO, Joel Nanauka

OLIVE Kiarie kutoka Kenya aibuka mshindi wa Maisha Plus East Africa 2016

Olive Kiarie, mshiriki kutoka nchini Kenya ameibuka mshindi wa Maisha Plus East Africa 2016 na kujishindia kitita cha Tzshs. Milioni 30. Winner “Kwanza napenda kumshukuru Mungu. Nimetoka Kenya kuja kutafuta hii pesa na nimeipata, hivyo namshukuru Mungu. Nawashukuru mabeste wangu wote, na wote walionipa sapoti. Asante pia Babu.” Alisema Olive huku akitoka machozi baada ya kutangazwa mshindi. 880A9842 Hii ni mara ya kwanza kwa taji hilo kwenda nje ya Tanzania ikiwa ni msimu wa tano toka mashindano haya yaanze mwaka 2009. Olive anakua

WADAU WAJADILIANA JINSI SEKTA BINAFSI INAVYOWEZA KUSHIRIKI KATIKA MKAKATI WA UTEKELEZAJI THABITI WA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO WA MAENDELEO YA TANZANIA, (FYDPII

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii, (ESRF), Dkt. Tausi Mbaga Kida, (kulia), akizungumza kwenye Warsha ya majadiliano ya wadau kuhusu nafasi ya sekta binafsi katika kutekeleza mpango wa pili wa maendeleo wa miaka mitano (FYDPII), kwenye ukumbi wa mikutano wa ESRF jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoawa Simiyu, Bw. Anthony Mtaka
 Naibu Katibu Mkuu Tume ya Mipango, kutoka Wiraza ya Fedha na Mipango, Dkt. Maduka Paul Kessy(kushoto), akizungumza kwenye

MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ARUSHA WAMSHANGAZA KAMANDA MPINGA

 Kamanda Mohamed Mpinga akipokea "Birthday Surprise Cake " kutoka kwa Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Sikukuu ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016. PICHA NA GADIOLA EMANUEL
  Kamanda Mohamed Mpinga akipokea "Birthday Surprise Cake " kutoka kwa Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza

Sunday, October 30, 2016

RC -PAUL MAKONDA AONGOZA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY JITEGEMEE JKT MGULANI JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee JKT Mgulani katika mahafali ya 32 yaliyofanyika jana. Makonda alikuwa mgeni rasmi. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Luteni Kanali Robert Kessy na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi wa Shule hiyo, Brigedia Generali Laurance Magere.
RC Makonda akimkabidhi cheti Mwalimu Bora wa Shule hiyo, Grace Eliyatosha Moshi.
RC Makonda akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora,  Samuel Ndebeto.

Waziri Mwijage azindua mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kijijini Maisha Plus

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa nchini Tanzania Mhe. Charles Mwijage leo amezindua rasmi mashine ya kusaga na kukoboa nafaka katika kijiji cha Maisha Plus. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo Mhe. Mwijage alisema kitendo cha washiriki hao 16 kutoka nchi tano za Afrika Mashariki kuweza kubuni mashine ni sawa na kufaulu mitihani mikubwa ya kimaisha. Alisema mashine hiyo ni mkombozi kwa watu wote wa Afrika Mashariki kwa sababu inaweza kusaga bila kutumia umeme lakini pia inamuwezesha mtu kufanya mazoezi. 2016-10-30-PHOTO-00000145 “Hii mashine ni njia mbadala ya kumuwezesha mtu kufanya mazoezi badala ya kwenda gym kufanya mazoezi utaweza kutumia mashine hii ukiwa unasaga nafaka huku unafanya mazoezi,” alisema Mwijage. 2016-10-30-PHOTO-00000148 Alisema ni vyema kwa washiriki kutumia njia hiyo kuweza kubuni mashine nyingine zaidi ili