Pages

Monday, September 14, 2009

SHYROSE AENDELEA KULA BATA!


Bi. Shyrose Bhnaji, ambaye yuko kwa Obama kwa 'vekesheni' maalumu, anaendelea kula bata, na sasa yuko Hollywood kutimiza ndoto yake ya kutembelea sehemu hiyo maarufu duaniani!

9 comments:

  1. kweli huyu dada yuko juu mpaka hollywood!!! HONGERA Shy-Rose

    ReplyDelete
  2. kweli anakula bata atarudi kweli huyu?

    ReplyDelete
  3. unatisha dada shyrose, umependeza sana utazani celebrity wa marekani..kumbe ni celebrity wa bongo. Anthony. LA

    ReplyDelete
  4. Asante sana kwa kutuhabarisha siku nyingi nilikuwa sijamuona shyrose nikawa najiuliza kulikoni? kumbe yuko kwa Obamaland? enjoy sis maisha ni mafupi na umependeza dada

    ReplyDelete
  5. mbona kaenda peke yake vipi yule mpenzi wake jamani nauliza tena mbon kamuacha

    ReplyDelete
  6. jamani wabongo jaribuni kuelimika kidogo kwani kila sehemu lazima watu waongozane? acheni hizo jamani. kumbe mnawamiss wasipokuwa pamoja?

    ReplyDelete
  7. Shy-Rose umewaweza sana waswahili wa bongo, roho zimewatoka kwa kusikia na kuthibitisha uko kwa Obama. Wameshasema mengi sana juu yako na wataendelea kusema mengi. Usijali yasemwayo kwani mwenye ubavu au kama kuna mtu yoyote anayejiamini aje aongee na wewe face to face na siyo kukusema sema kwa kujificha na hii inadhihirisha kwamba uko juu na wanakuogopa. WAKUPENDE, WAKUCHUKIE WASEME WATAKACHO, WEWE KULA BATA TU. BAHATI NI YAKO NA WENGINE WASIILALIE MILANGO WAZI...

    ReplyDelete