Bi. Shyrose Bhnaji, ambaye yuko kwa Obama kwa 'vekesheni' maalumu, anaendelea kula bata, na sasa yuko Hollywood kutimiza ndoto yake ya kutembelea sehemu hiyo maarufu duaniani!
Asante sana kwa kutuhabarisha siku nyingi nilikuwa sijamuona shyrose nikawa najiuliza kulikoni? kumbe yuko kwa Obamaland? enjoy sis maisha ni mafupi na umependeza dada
Shy-Rose umewaweza sana waswahili wa bongo, roho zimewatoka kwa kusikia na kuthibitisha uko kwa Obama. Wameshasema mengi sana juu yako na wataendelea kusema mengi. Usijali yasemwayo kwani mwenye ubavu au kama kuna mtu yoyote anayejiamini aje aongee na wewe face to face na siyo kukusema sema kwa kujificha na hii inadhihirisha kwamba uko juu na wanakuogopa. WAKUPENDE, WAKUCHUKIE WASEME WATAKACHO, WEWE KULA BATA TU. BAHATI NI YAKO NA WENGINE WASIILALIE MILANGO WAZI...
kweli huyu dada yuko juu mpaka hollywood!!! HONGERA Shy-Rose
ReplyDeletekweli anakula bata atarudi kweli huyu?
ReplyDeleteunatisha dada shyrose, umependeza sana utazani celebrity wa marekani..kumbe ni celebrity wa bongo. Anthony. LA
ReplyDeleteAsante sana kwa kutuhabarisha siku nyingi nilikuwa sijamuona shyrose nikawa najiuliza kulikoni? kumbe yuko kwa Obamaland? enjoy sis maisha ni mafupi na umependeza dada
ReplyDeletembona kaenda peke yake vipi yule mpenzi wake jamani nauliza tena mbon kamuacha
ReplyDeletejamani wabongo jaribuni kuelimika kidogo kwani kila sehemu lazima watu waongozane? acheni hizo jamani. kumbe mnawamiss wasipokuwa pamoja?
ReplyDeletekaribuni US shyrose
ReplyDeleteDah uko poa sis
ReplyDeleteShy-Rose umewaweza sana waswahili wa bongo, roho zimewatoka kwa kusikia na kuthibitisha uko kwa Obama. Wameshasema mengi sana juu yako na wataendelea kusema mengi. Usijali yasemwayo kwani mwenye ubavu au kama kuna mtu yoyote anayejiamini aje aongee na wewe face to face na siyo kukusema sema kwa kujificha na hii inadhihirisha kwamba uko juu na wanakuogopa. WAKUPENDE, WAKUCHUKIE WASEME WATAKACHO, WEWE KULA BATA TU. BAHATI NI YAKO NA WENGINE WASIILALIE MILANGO WAZI...
ReplyDelete