Pages

Wednesday, March 31, 2010

TANGAZO KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS!


Kuna tatizo la kiufundi ambalo limetokea kwenye mtandao wa www.globalpublisherstz.com na kusababisha mtandao huo kutofunguka kwa sasa. 
Tatizo hilo limetokea kwenye server inayo host mtandao huo na hivi sasa wataalamu wetu wako kazini wakilishughulikia tatizo.
Ni matarajio yetu kuwa baada ya saa chache zijazo, utakuwa hewani na habari zake za leo kama kawaida. Tunawaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.

Asante

Web Master
GPL

2 comments:

  1. Kaka naona website yetu ya magazeti pendwa imenigomea tangu jana usiku, mimi mdau kutoka scandnavia huku, nikiifunguwa napa ujumbe ufuatao.

    Forbidden

    You don't have permission to access /index.php on this server.

    Additionally, a 403 Forbidden error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request.
    Apache/2.2.15 (Unix) mod_ssl/2.2.15 OpenSSL/0.9.8m DAV/2 mod_fcgid/2.3.5 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 Server at www.globalpublisherstz.com Port 80
    Sasa sijui tatizo lipo kwa nani hapo, kwangu au kwenu? Naomba msaada

    ReplyDelete
  2. Powa asante kwa ujumbe.


    disminder.

    ReplyDelete