Pages

Sunday, January 23, 2011

Taarifa ya arobaini

Familia ya J.S.Makunja na Bi.Moza Mpili,
inawatarifu ndugu, Jamaa na marafiki wote kuwa
Shughuli ya Hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja,
Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuamkia 30.01.2011 huko mjini Utete/Rufiji
kwa mama wa marehem.
Marehem Hassan Jumanne Makunja
Alizaliwa 4-03-1964 alifariki 19-Dec-2010

Taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja
0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

No comments:

Post a Comment