Kutoka kushoto (waliosimama) ni Producer Dwayne Collins,
Engineer Zaynab, Sunday Shomari na Harrison Kamau na waliokaa kutoka
kushoto ni Idd Ligongo, Esther Githui Ewart, Mary Mgawe na mkuu wa idhaa ya
Kiswahili Mwamoyo Hamza.
Timu ya VOA EXPRESS iliyofungua matangazo ya kwanza
ya Alasiri saa za Afrika Mashariki saa 10.30 Jumatatu hadi Ijumaa Oktoba
27,2014. Kutoka kushoto Mary Mgawe, Idd Ligongo ,Sunday Shomari, Esther
Githui Ewart, Khadija Riyami, Dwayne Collins, Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza
na Harrison Kamau.
No comments:
Post a Comment