Mwanamuziki mwenye kipaji cha utunzi na uimbaji cha kipekee, Banza Stone, amekuwa hasikiki sana baada ya kusumbuliwa na maradhi mara kwa mara na skendo ya dawa za kulevya. Lakini licha ya matatizo yote hayo, bado yupo yupo, kama alivyokutwa Akudo Impact akiimba kama mwimbaji mwalikwa katika shoo ya Vatican City ya kuukaribisha mwaka mpya usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment