Monday, July 6, 2009

UTATA: MICHAEL MUISLAMU, MKRISTO?



Baada ya kifo chake, utata umeibuka kuhusu dini yake, wapo wanaosema Michael alikuwa Muislamu na wapo wanaopinga na kusema alikuwa Mkristo tena wa Madhehebu ya Mashahidi wa Yehova! Wanaosema alikuwa muislamu chanzo chake kilikuwa ni maneno ya kaka mtu Jermaine Jackson aliyoyatoa wakati anatangaza kifo chake na aliporejea kutoka kuhiji Mecca na kukaririwa: “When I came back from Mecca I got him a lot of books and he asked me lots of things about my religion and I told him that it’s peaceful and beautiful.

“He read everything and he was proud of me that I found something that would give me inner strength and peace.

“I think it is most probable that Michael will convert to Islam.

“He could do so much, just like I am trying to do. Michael and I and the word of God, we could do so much,” alisema Jermaine February 24, 2007

Stori nyingine ya hivi karibuni ni ile ya gazeti la udaku la The Sun la Novemba 21,. 2008 ambayo iliandika kuwa Michael alithibitisha kuingia Uislamu kwa kutoa shahada mbele ya sheikh mmoja nchini Uingereza! Stori yenyewe ni hii hapa:

Michael Jackson has become a Muslim — and changed his name to Mikaeel.

The skint superstar, 50, donned Islamic garb to pledge allegiance to the Koran in a ceremony at a pal’s mansion in Los Angeles, The Sun can reveal.

Jacko sat on the floor wearing a tiny hat after an Imam was summoned to officiate — days before the singer is due to appear at London’s High Court where he is being sued by an Arab sheik.

A source told last night how Jacko, brought up as a Jehovah’s Witness, decided to convert as he used a studio at the home of his chum to record a new album.

The star — whose hits include The Way You Make Me Feel — was spotted looking “a bit down” by a producer and a songwriter who had both embraced Islam.

The source said: “They began talking to him about their beliefs, and how they thought they had become better people after they converted. Michael soon began warming to the idea.

“An Imam was summoned from the mosque and Michael went through the shahada, which is the Muslim declaration of belief.” Mikaeel is the name of one of Allah’s angels.

“Jacko rejected an alternative name, Mustafa — meaning “the chosen one”.

Brit singer Yousef Islam, 60 — who was called Cat Stevens until he famously converted — turned up to help Jacko celebrate.- Source: The Sun (UK), Nov. 21, 2008

- LAKINI baada ya taarifa hizo, ukweli ulikuja kudhihirika kuwa yote hayo yalikuwa ni 'rumours' tu, hebu soma hapa:

After such images it did not take very long for western media like the NY Sun and NY Post to declare that Michael Jackson had converted to Islam at a ceremony in L.A. and changed his name to “Mikaeel” (Arabized version of Michael and the name of one of the four major angels of Islam).

The news story was immediately slammed by Jackson’s representatives:

Jackson’s New York lawyer, Londell McMillan, took the opportunity to trash a British press report that Jackson has become a Muslim. “That’s rubbish. It’s completely untrue,” McMillan told reporters.

Na hii nayo ikaendelea kukandamiza msumari wa mwisho kwa kusema:

Still, because the idea of Jackson being a Muslim was just so difficult to give up, many Muslim leaders bought into the account. Just yesterday Imam Zaid Shakir, a traditionalist leader in the United States wrote: “A good friend who is a reliable source of information called and said that Michael had become Muslim. He had been working on an album with the well-known Muslim musician, Dawud Warsby, and another Muslim performer, and the two, sensing Michael’s troubled and depressed state had invited him to Islam. He accepted their invitation. Michael was no stranger to the religion, having been exposed to it by his brother Jermaine, who had converted to the faith in 1989.”

Unfortunately for Zaid Shakir’s “reliable source” the account is not correct. At his blog Dawud Wharnsby reveals that he had never even met Michael Jackson.

Lastly - many have been in touch with me over the past year to inquire about my personal relationship with Michael Jackson. A November 21, 2008 Sun (UK) article spread internationally stating that Michael had adopted the religion of Islam through friendship with both myself and my colleague Idris Phillips during recording sessions in Los Angeles.

For the record: Though our professional circles did cross-over slightly with various common professional acquaintances - I never had the honour or pleasure of meeting Micheal Jackson [sic] personally, nor did we ever correspond on matters of our professions, personal lives or faiths. Now Michael is gone.

Kwa ‘data’ hizo mbili, tukubaliane, tena bila shaka, kuwa Michael Jackson hakuwahi kuwa Muislamu wala hakuwahi kusema hadharani kuwa amesilimu. Na kwa kuwa maandalizi ya mazishi yake yameshajionesha kuwa ataagwa na atazikwa na jeneza mambo ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu, then hawezi kuwa alikuwa MUISLAMU jamani!!!!!



7 comments:

Muislam said...

Hapa sikuelewi, swala ni nini haswa? Je unacholalamikia ni kuwa jacko ni mkiristo ama? Kwanza muislam gani yuko hivo, huyo hatumtaki hata bure, nyie mchukueni tu, haongezi sifa yoyote kwa waislam. mzikieni mnavyojua, HATUMTAKI!

Anonymous said...

Sasa we anonymous wa 7:55 usichokielewa nini hapa. Wewe ndiyo una matatizo Mrisho ametoa facts ambazo zinaongelewa kila mahali.

Tatizo siyo kwamba waislamu wanataka MJ wa muislam. Kwa maoni yako waislam wana sifa gani ambayo wakristo hawana? NO WONDER THERE IS NO PEACE IN THE WORLD!!!!

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Kuwa ama kutokuwa muislamu ni mabishano ya wasio na imani na uelewa pia. Sidhani kama mtu mwenye IMANI THABITI anaweza kukaa na kubishana ama kutatanishana juu ya dini ya marehemu fulani. Kwa manufaa gani? Ni yapi manufaa ya kuwa na mtu mwenye umaarufu (well! sio mtu, niseme maiti ya mtu)ilhali akiwa hai hakuishi kimaadili?
Sijasikia yeyote mwenye heshima kama Sheikh ama Mchungaji akisema kuhusu hili.
Natambua kwa kuishi huku, kuna tofauti ya namna ya kuabudu hata kwa dini ama madhehebu ya aina moja na nyumbani. Kwa hiyo, lililo muhimu ni kumuacha azikwe azikwavyo na kisha ataenda anakostahili kulingana na aliyotenda.
HITIMISHO: Kuna magazeti ya ku"quote" kwa habari muhimu lakini si The Sun. Unajua hilo Kaka Abby maana najua kama mkuu wa Gazeti la Uwazi na mengine ya aina hiyo wajua The Suna wanaandika nini.
Anyway Brother. Asante kwa maandiko

Anonymous said...

Muislamu utamjua tuu! it wont take a geneous to poit this out.
Wewe mzee wa Changamoto ,with all due respect,ndugu yangu ,you talk about Imani? The hell is that?.
Imani ya dini ya kiislamu au ukristo ndiyo ya ku-jiproud nayo kweli? wewe kama mtu mweusi ukristo au uilamu umefanywa kuletewa na tena mbaya zaidi kwa kuchapwa viboko,kufirwa (wanaume) kwa mtutu wa bunduki .Leo hii unazungumzia imani na unaenda hata hatua ya kuwa mad for any body who ever dares to question or point out the flaws of dini zisizo zetu
To me this is far from Imani but rather stupidity.And thats it.Period!
Being muslim or christian for Michael ,does not matter at all kwa sababu gani nipoteze muda kwa dini isiyo yangu?
Umegusia kwamba muhimu ni "kumuacha azikwe azikwavyo na kisha ataenda anakostahili kulingana na aliyotenda".
Mzee wa Cahngamoto sasa unanichekesha kwa kwli what are you trying to suggest with this?
Sounds like you are suggesting that after death somebody goes some where .You can't be serious with this ,Mzee wa Changamoto.
However mimi nakubaliana nawe kimsingi kabisa tunapochekua habari kutoka media sources tuchuje vizuri kwa sababu magazeti ya udaku ni ya kuamninika lakini highly habri zake ni za kusadikika sometimes.Hivyo nakuunga mkono hapa hasa hayo magazeti uliyoyataja mmmh! kweli kabisa
Haya siku njema ,kila la kheri

Mzee wa Changamoto said...

Asante sana Anon 11:17pm kwa maoni safi. Nakubaliana nawe katika usemalo juu yan imani. Kwangu nimaanishalo ni kuwa hakuna haja ya Michael anazikwa vipi na alikuwa akiabudu nini. Hilo ni juu yao. Na suala la anazikwa vipi pia ni wajibu wao. Nililokuwa nikiongeklea ni lile nililoona limechangiwa saana (ukumbi mwingine) juu ya maziko yake kulingana na imani yake.Ndio maana nilichanganya kusema azikwe azikwe azikwavyo kwani ubishi hausaidii lolote kwa sasa.
Sina hakika kama ulielewa nililouliza kuhusu imani. Sijauliza kuhusu mtu aulizaye. Labda NILILOJIFUNZA ni kuwa makini wakati ujao, niandike katika mfumo utakaoeleweka kirahisi.
Naona mantiki yangu haiko mbali na yako, labda namna nilivyoieleza ndio imeleta utata.
Lakini nashukuru saana kwa maoni na uelimishaji wako

Anonymous said...

Hana uislamu wowote huyu ni mkiristo.

Unknown said...

We ndo nani kwani hadi uchague watu unaowataka katika dini