Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus
Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya
Kilimanjaro ,katika Manispaa ya Moshi akieleza mammbo mbalimbali
aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo
kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
![]() |
Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Manispaa ya Moshi ,Mzee Mgonja akizungumza mara baada ya Priscus Tarimo kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Moshi mjini. |
No comments:
Post a Comment