| Wanariadha wakianza mbio za Igombe marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora |
| Mgeni rasmi ,Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, bw.Suleiman Kumchaya(katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe marathon |
| Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathon |
| Washindi wa Igombe marathon kuanzia wa kwanza hadi wa tatu(wanaume na wanawake) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo(Tigo) |
| Washiriki wa Tigo igombe marathon wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo CHANZO; MWANAHARAKATI MZALENDO |
No comments:
Post a Comment