Thursday, June 7, 2018

WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA KAMPUNI YA TOTAL KWA KUZINDUA MAFUTA YA MAGARI RAFIKI KWA MAZINGIRA

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafuta ya Total Excellium ya petrol na Diesel ambayo yana uwezo wa kusafisha injini na kuiwezesha injini kufanya kazi kwa kipindi kirefu, wengine ni Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredric Clavier (watatu kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Total nchini Tarik Moufaddal  (watatu kutoka kulia).
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akitoa huduma ya kujaza mafuta kwenye gari la mmoja wa wateja wa Total wakati wa uzinduzi wa mafuta ya Total Excellium ya
petrol na Diesel uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, Mafuta hayo yana uwezo wa kusafisha injini na kuiwezesha injini kufanya kazi kwa kipindi kirefu. kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Total nchini Tarik Moufaddal na ni Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredric Clavier. 

1 comment:

nikkisa889 said...

There are some attention-grabbing deadlines in this article but I don’t know if I see all of them center to heart. There's some validity but I'll take hold opinion till I look into it further. Good article , thanks and we want more! Added to FeedBurner as nicely play casino