WAZIRI MKUU TANGA
Wiziri Mkuu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakitazama ngoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya kazi jana. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tanga, Mussa Shekimweli na wapili kulia ni Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mohamed Abdul Aziz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment