Tuesday, January 15, 2008

KANUMBA ALAMBA TUZO NYINGINE!


Mambo ya Kanumba yaendelea kuwa supa: www.globalpublisherstz.com

Kanumba akifurahia Tuzo yake Marekani...!

6 comments:

Anonymous said...

Mbona huyo Kanumba kazidi kuwa mweusiiiii huko marekani ?

Anonymous said...

baridi kali, halafu sasa hiyo ndiyo tuzo gani ? mbona anapewa mitaani ?

Anonymous said...

Jamani,mkikosolewa mnalalamika.Ili mwendelee inabidi mtusikie baadhi ya wasomaji wenu pia.Hivi mtu mwenye akili timamu anayejiita mwandishi,anaweza kweli kuweka habari kama hii bila kuifanyia research japo kwenye Google tu?Mmmesema Kanumba kapewa tuzo huko US,mbona hakuna picha za tuzo hizo?Nime-search kwenye kila search engine na sijaona habari yoyote inayohusiana na mnachaondika.Mtanzania yeyote atakayekabidhiwa tuzo nje ya nchi ni lazima ataleta picha zinazoonyesha tukio la kishujaa kama hili,na sio picha za vinyago mtaani.MNAJIAIBISHA KWA KUANDIKA HABARI ZA KUKWEZA WATU ILHALI ZINAKINGANA NA UKWELI....Ni rahisi baadhi ya watu kuhisi mnadakishwa kitu kidogo kuuza sura za watu.Come on guys,that's unethical

Chemi Che-Mponda said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

Huyu bwana kanunua hiyo tuzo zinazouzwa kama souvenir, halafu anasema katunukiwa tuzo. Bro. Mrisho inachukua muda kwa mtu aliyetoka bongo kueleweka akiongea English. Kanumba ana miezi mitatu hata akienda kuagiza chakula McDonalds inabidi aende na mwenyeji wake.

Anonymous said...

Follow me on this:

Kanumba is holding an Oscar Statue...

Oscar Statues are given out at the Oscar Awards...

The Oscar Awards are next month,precisely,February the 24th...

Unless Kanumba has invented a Time Machine,that is not a goddamn Oscar trophy in his hand.

Oh,and P.S:You have to be NOMINATED to win an Oscar Award.Kanumba from Tanzania is N-O-T nominated for an Oscar Award.