Sunday, June 29, 2008

NI KIFAA GANI HIKI?

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo kwenye luninga za Bongo, unaweza kuwasaidia wasomaji kuwaambia hiki ni kifaa gani chenye mvuto wa kimahaba kama huu na ulikiona wapi?!!!

5 comments:

Anonymous said...

Mhhhhhhhhhh,inakuwaje mtu anaitwa kifaa,na inakuwaje anayeitwa kifaa anakubali kuitwa hivyo

Kalaghabaho

Anonymous said...

Huyo ni mkenya - cynthia, alikuwa mshiriki kwenye East African Pop Idols, ila alikuwa sio muimbaji mzuri akini aliweza kuingia kwenye Top 10 na kubaki mpaka top 7 kwa vile baba yake ni ka tycoon fulani huko Nairobi na alitumia hela nyingi sana kuhakikisha binti yake anabaki kwenye mashindano.

Ila sijaona huo uzuri wa kusifiwa kama alivyokuwa anasifiwa na ma jaji wa Idols - ni uzuri wa kawaida tu.

Anonymous said...

Huyo ni Cythia wa Kenya ambaye ametolewa hivi karibuni katika kinyNG'nyiro cha Celtel idol

Anonymous said...

HIyo itakuwa Ram ya kwenye computer

Mrisho's Photography said...

ha haaa, teh teh, mchangiaji hapo juu anajua kuchekesha watu, eti hiyo itakuwa ni Ram ya kompyuta!!
Unajua kiswahili cha mtaani au Kamusi ya Bongo inasema Kifaa ni demu au msichana mzuri...`!
Ni kweli Cynthia alikuwa mshiriki wa Tusker Project Fame.thanks for your comments!