Just Imagine, unaelekea kazini au mkutanoni huku uki drive, pengine umechelewa hivyo unajitahidi kuwahi kadri unavyoweza, mara unakutana na bonge la foleni lililosimama....unajaribu kudadisi kulikoni, eti unaambiwa magari yamesimama kwa sababu bata na watoto wake wanavuka barabara!!!!......Bongo inawezekana hii?
3 comments:
Haiwezekani katu
Kwa ustaarabu wa sasa wa Bongo uliojaa hasira na masumbufu ya maisha, wewe dereva uliyesimama pamoja na bata na vifaranga wake mtaitwa wanga kabla hamjageuzwa kuwa vitoweo.
inawezekana sana mbona, bagamoyo tunamsubiri mtu alie weka koti kwenye kiti cha basi?
Post a Comment