Msomaji katuma hii: Kama wewe unadhani unafanyakazi katika mazingira ya hatari, basi fikiria mara mbili na pengine mshukuru Mungu kwa kuwa na kazi hiyo ambayo bila shaka haiwezi kuwa ya hatari zaidi kuliko ya hawa jamaa ya kumsaka nyoka mkubwa na hatari aitwae ANACONDA kwa staili hii....!
No comments:
Post a Comment