Monday, August 18, 2008

TUTA MMISI SANA JAMAA!

Bernie akiwa home kwake enzi za uhai wake..
George Clooney, kushoto, akiwa na marehemu Bernie Mac wakati wa uzinduzi wa filamu ya "Ocean's Thirteen."
Hapa alikuwa na Chris Rock katika filamu yao ya kuchekesha "Head of State" mwaka 2003.

Bernie Mac akimkumbatia mkewe Rhonda January 2002, jamaa atakumbukwa sana kwani alikuwa mtu wa watu!

No comments: