Brandy: aanguka dhambini na midume 9
Ebwana dah wiki hii imeperuzi na kuibuka na true love story ya staa wa music kutoka pande za Marekani anayekwenda kwa jina Brandy Rayana Norwood, unaweza kumuita Brandy na kamwe hawezi kukasirika.
Line zifuatazo zinachana live midume ambayo sexy girl huyo aliwahi kuwakopesha moyo wake kimapenzi tangu alipoingia kunako anga za kupenda na kupendwa. Katika story yake, Brandy aliwahi kudondoka dhambini na vichwa vinavyokadiriwa kufikia tisa hadi unaposoma mistari hii.
Long time, Brandy aliwahi kuwa in love na mshikaji wa kitaa aliyekwenda kwa jina la Chris Webber ambapo hawakudumu sana coz alitokea staa wa kundi la Boyz II Men, Wanya Morris na kunyang’anya tonge lililokuwa kinywani kwa mshkaji.
The year 1996, staa wa mchezo wa kikapu wa NBA, Kobe Bryant aliunga chain hiyo baada ya kufanikiwa kumuweka Brandy katika himaya yake.
Penzi la Brandy na Kobe lilidumu for two years ambapo in 1998, mshkaji mmoja alinaekwenda kwa jina la Joel Gonzales alimbeba jumla mwimbaji huyo wa songi la The boy is mine.
Siku zote ngoma ikilia sana ni ishara kuwa inakaribia kupasuka kwani penzi la Brandy na Gonzales lilikuwa so hot kwa kipindi cha miezi kadhaa ambapo in 1999, ghafla bin vuu alijitokeza mtaalam wa nyimbo za kubembeleza totozi, Usher Raymond na kubeba kitu kilaini kama ananawa.
In 2002, love gone bad kwa Usher ambapo staa mwenye heshima kubwa katika music industry kiwanja, Tyrese alimchukua Brandy. Maneno na migogoro kila kukicha ndiyo iliyopelekea wawili hao kumwagana na kutoa chance kwa mtu mzima, Quentin Richardson mwaka 2004 kumtia mikononi Brandy.
Mwaka 2006, jamaa mmoja aitwaye Michael Knight alimchukua Brandy kutoka kwa Richard ambapo kulipita silence ya ajabu kabla ya Brandy kuibuka na kichanga ambapo staa Bryan Cox aliamua kumchukua na mwanaye na kuishi naye akilea mtoto wa Rich, hiyo ikiwa ni 2008.
Brandy Rayana Norwood (31), mwenye urefu wa sintimita 170, alizaliwa Februari 11, 1979 huko McComb, Mississippi nchini Marekani ambapo aligonga shule Hollywood High School CA (1996) na baadaye elimu ya juu alichukulia Pepperdine University akiweka mkazo katika masuala ya music.
Ze dudu: Andagraundi wakinifuata nasikia kichefuchefu
The long time Artist wa Bongo Flava, Godfrey Tumaini a.k.a Dudubaya’, ambaye hivi sasa anasimama vema na ngoma mpya yenye jina la Push Push juzikati alipiga stori na Abby Cool & MC George over the weekend na kuchana kwamba, machungu aliyonayo moyoni hivi sasa yanamfanya asikie kichefuchefu pale msanii chipukizi anapomuibukia kumuomba msaada.
Mchizi alisema kuwa, machungu hayo yanatokana na fadhila ‘mbovu’ anazozipata kutoka kwa baadhi ya mastaa wa muziki wa kizazi kipya ambao alijitahidi kuwasapoti mpaka wakatoka lakini mwisho wa siku wakaamua kumdis bila sababu.
“Hivi sasa nina machungu sana, kiasi kwamba ‘andagraundi’ akija kuniomba msaada nasikia kichefuchefu kwasababu mwisho wa siku wanakosa shukrani kama ilivyokuwa kwa Hamidu ambaye nilimkuta yuko darasa la pili lakini shule haendi kutokana na matatizo ya familia yake, nikajitahidi kumsomesha mpaka akamaliza darasa la saba, lakini mwisho wa siku nikaonekana sina maana kwake”, alisema Ze Dudu.
Mastaa wengine aliowataja kuwasapoti mpaka wakachomoka kwenye game ni pamoja na Afande Sele ‘Baba Tunda’ msanii wa kike, ‘Besta’, Sister P, Pig Black na Crew ya Mabaga Fresh ambayo aliisaidia kutengeneza ngoma yao ya kwanza, ‘Mtulize’ kabla hawajachukuliwa na P-Funk na kugonga Mtulize remix wakiwa na Nature.
SHAMSA : wazazi wampiga stop kuigiza
Muigizaji sexy mwenye mvuto wa sumaku kunako Industry ya Movie Bongo, Shamsa Ford, amepigwa stop na parents zake kuendelea kukamua filamu soon after picha yake aliyopiga na msanii Hisani Muya ‘Tino’ kuibua gogoro kubwa ndani ya familia yake.
Akistorisha na safu hii jijini Dar juzikati, underground huyo wa movie alidai kuwa, baada ya picha hiyo ya kimapenzi kuonekana front page ya gazeti akiwa on bed na Tino, wazazi walimuita na kumpa za uso kuwa aachane na uigizaji.
Alichonga kuwa, parents walikataa katakata kuwa ni sehemu ya kazi yake na badala yake wakadhani kuwa mtoto wao basi tena.
Shamsa anadai hivi sasa ameshatafutiwa chuo so wakati wowote from now, atatimba class.
ZAY B, SISTER P: Bado hapatoshi
Staa wa Bongo Flava, Zainab Lipangile ‘Zay B’ ameibuka na kuweka plain kwamba, lile bifu liliwahi kugonga vichwa kati yake na mwanamuziki mwenzake, Happy Thadei ‘Sister P’ bado liko pale baada ya kuwepo evidence kuwa still hawaivi in the same pot.
Akipiga stori na safu hii, jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Zay B alidai kwamba hawezi kuwa in a good understanding na Sister P pamoja na kwamba walishajaribu kuwa close, lakini wakaja kuhitilafiana tena na sasa uhusiano wao ni sifuri.
“Sitomsamehe Sister P milele kwa vitendo alivyonifanyia, hivi sasa anajifanya hana bifu na mimi lakini inawezekana moyoni mwake hayuko hivyo. Hivi sasa akifanya intavyuu na baadhi ya vyombo vya habari anawaambia yupo katika mishemishe za kurekodi na mimi na kwamba tumeshakutana tukaongea, kitu ambacho siyo kweli, hata akija na Rais Obama siwezi kufanya naye kazi,” alisema Zay B ambaye alitambulishwa na ngoma yake yenye jina la Gado, kabla Sister P hajatoka na ‘Anakuja’ kunako miaka ya 2002.
Zay B na Sister ni wasanii wa kike wa long time katika Tasnia ya Bongo Flava ambao some years huko nyuma waliwahi kuwa na bifu kali na kauli ya Zay B inayotoa tafsiri kuwa bado mtiti uko palepale. Safu hii itaendelea kucheki na Sister P ili kujua kama bado ndoto zake za kurekodi na Zay B ziko pale pale.
compiled by mc george/ijumaa wikienda newspaper

**************************************

*********************************************
SHAMSA : wazazi wampiga stop kuigiza
Muigizaji sexy mwenye mvuto wa sumaku kunako Industry ya Movie Bongo, Shamsa Ford, amepigwa stop na parents zake kuendelea kukamua filamu soon after picha yake aliyopiga na msanii Hisani Muya ‘Tino’ kuibua gogoro kubwa ndani ya familia yake.
Akistorisha na safu hii jijini Dar juzikati, underground huyo wa movie alidai kuwa, baada ya picha hiyo ya kimapenzi kuonekana front page ya gazeti akiwa on bed na Tino, wazazi walimuita na kumpa za uso kuwa aachane na uigizaji.
Alichonga kuwa, parents walikataa katakata kuwa ni sehemu ya kazi yake na badala yake wakadhani kuwa mtoto wao basi tena.
Shamsa anadai hivi sasa ameshatafutiwa chuo so wakati wowote from now, atatimba class.
*****************************************
ZAY B, SISTER P: Bado hapatoshi
Staa wa Bongo Flava, Zainab Lipangile ‘Zay B’ ameibuka na kuweka plain kwamba, lile bifu liliwahi kugonga vichwa kati yake na mwanamuziki mwenzake, Happy Thadei ‘Sister P’ bado liko pale baada ya kuwepo evidence kuwa still hawaivi in the same pot.
Akipiga stori na safu hii, jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Zay B alidai kwamba hawezi kuwa in a good understanding na Sister P pamoja na kwamba walishajaribu kuwa close, lakini wakaja kuhitilafiana tena na sasa uhusiano wao ni sifuri.
“Sitomsamehe Sister P milele kwa vitendo alivyonifanyia, hivi sasa anajifanya hana bifu na mimi lakini inawezekana moyoni mwake hayuko hivyo. Hivi sasa akifanya intavyuu na baadhi ya vyombo vya habari anawaambia yupo katika mishemishe za kurekodi na mimi na kwamba tumeshakutana tukaongea, kitu ambacho siyo kweli, hata akija na Rais Obama siwezi kufanya naye kazi,” alisema Zay B ambaye alitambulishwa na ngoma yake yenye jina la Gado, kabla Sister P hajatoka na ‘Anakuja’ kunako miaka ya 2002.
Zay B na Sister ni wasanii wa kike wa long time katika Tasnia ya Bongo Flava ambao some years huko nyuma waliwahi kuwa na bifu kali na kauli ya Zay B inayotoa tafsiri kuwa bado mtiti uko palepale. Safu hii itaendelea kucheki na Sister P ili kujua kama bado ndoto zake za kurekodi na Zay B ziko pale pale.
compiled by mc george/ijumaa wikienda newspaper
6 comments:
Mtu wangu niaje, mbona website ya globalpulisher...haipatikani?
kwangu mimi naona iko sawa kaka, tatizo limekutokea lini? labda jaribu ku refresh page yako!
Ina funguka lakini inaishia sehemu ya juu tu kwenye matangazo na sign na registration...au mpaka tufanye registration ndo tuweza kuingia?
Nimejaribu kufanya utafiti lakini sijaona tatizo lolote kwa upande wa web site yenyewe..jaribu ku clear caches na cookies zote kwenye kompyuta yako..labda unaweza kuondoa tatizo hilo...maana nimeongea na jamaa mmoja wa Uingereza asubuhi hii anasema anaona kama kawaida na pia nimeongea na wa Canada nae hana tatizo, sijui kwa nini iwe Finland na uingereza baadhi..UKIWA KWENYE BROWSER YAKO, nenda TOOLS, kisha CLEAR PRIVATE DATA, then tick vi box vyote halafu click CLEAR DATA NOW....then anza kufungua web upya..tuendelee kuwasiliana poleni sana
Bwana Mrisho;
Huyu Dudubaya ana blogu au email? Ninataka kuwasiliana naye kama inawezekana.
Asante sana!
dudubaya anayo email, mcheki hata kwenye face book..dudubaya ni mamba uwaweza wasiliana nae
Post a Comment