Ben Kinyaiya akitoa heshima zake za mwisho kwa majonzi mbele ya jeneza la P. Diddy Ben Kinyaiya akilia kwa uchungu huku akitulizwa na rafiki yake
...majonzi matupu
Mkurugenzi mwenzie na marehemu, Judith Mosha, akilia kwa uchungu Msanii wa filamu, JB (kulia) akiongea na mwanamuziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior Mwanamuziki wa FM Academia Nyoshi (kulia) akiwa na jamaa zake msibani Jack Pemba (kulia) akiwa na Jerry Muro msibaniBen akiwa katika dimbwi la majonzi 'Kimwana Manywele' (kulia) na mwenzie akiwa katika majonzi ...wakiwa wamepoteza fahamu ....Aunty Ezeckiel....akilia na warembo wenzie (chini) Dansa wa Twanga Pepeta, Super Nyamwela, akimfariji mwenzie msibaniMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI - AMEEN!
No comments:
Post a Comment