![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicsky4kqWJT5vaRSqxqMS7rPhzZsK8sYhWooKtqCHxIOoY89MXn85JmBGSaM9ACesVDEDRMhJPufoWzRCupQHRjIwiv_O0NWP4HmZLMkkDLMy_YbPH3V15PxQiwcs3z2wG6V4VmiLo1Sub/s400/mapacha+final.jpg)
Meneja wa kundi hilo, Khamis Dakota alisema kwamba leo watawadhihirishia wapenzi wao kuwa Mapacha watatu ndiyo vinara wa muziki huo nchini kwakuwa kazi zao nyingi zinakubalika. “Katika uzinduzi huo tutasindikizwa na African Stars ‘Twanga Pepeta’ pamoja na Kundi zima la Jahazi Modern Taarab chini ya uongozi wake, Mzee Yusuf.”
Kundi hilo la Mapacha watatu linaundwa na Khaleed Chokoraa, Jose Mara na Kalala Junior. Uzinduzi huo umedhaminiwa na Kampuni ya Global Publishers, Zain, Clouds FM.
No comments:
Post a Comment