Monday, November 29, 2010

AHADI KAKORE KAOA JAMANI!

Mwenzenu Ahadi Kakore ameoa na siyo bachela tena. Kakore amemuoa Bulligrace Jumamosi Nov 23 katika kanisa la Azania Front na sherehe kufanyika Water Front jijini Dar es salaam. Hongera Kakore na karibu kwenye club mpya ya wanandoa!

2 comments:

Anonymous said...

HONGERA KAKA, DADA JITAHIDI UFANYE MAZOEZI SANA KWA MAANA MWILI HUO UMESHAONEKANA KAMA MTU MZIMA TAYARI.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mungu Aibariki ndoa yenu wapendwa!