Friday, November 26, 2010

DIAMOND AREKODI SONGI UK


Diamond akiwa studio
Msanii wa kizazi Kipya Diamond aka Mzee wa Mbagala ametengeneza kibao kipya mapema wiki hii ndani ya Studio za URBAN PULSE CREATIVE nchini Uingereza maalum kwa ajili Urban Tour war on Malaria. Kibao hicho cha kusisimua kinaitwa LALA SALAMA kimeangushwa na Producer Young Josh na Salim kutoka URBAN PULSE. Ili kuwapa mafans wake burudani ya ukweli, Diamond ataperfom LALA SALAM kwa mara ya kwanza kwenye show zake za mwisho ambazo zitafanyika:

26th November 2010
CLUB AMBASSADOR
20 LONDON ROAD
BARKING, 1G11 8AJ

27 November 2010
116 GAR GOSFORD STREET
PALMS BAR
COVENTRY
CV1 5 EA

Kiingilio ni £10 kabla ya saa sita usiku.
Tafadhali wahi mapema na pia tunaomba mpe taarifa mwenzako.

WOTE MNAKARIBISHWA

Asanteni sana,
URBAN PULSE CREATIVE

No comments: