Friday, December 17, 2010

BLU ATUA SAUZI KWA SHOO



Blu awasili South Africa (cape town) tayari kwa makamuzi ya show ya kwanza ambayo itafanyika Tarehe 18 Jumamosi (kesho) ndani ya Seasons Music Boutique 18 Bree Street. Baada ya hapo atapiga show ya pili Jumamosi ndani ya jiji la Pretoria.

No comments: