Saturday, December 25, 2010

MASHA LA MSIMU WA RAHA KAMILI

Serengeti Breweries imeandaa Tamasha maalum la burudani ambapo wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya wanatoa buradani sehemu mbalimbali nchini. Pichani ni baadhi ya wasanii hao wakiwatumbuiza wakazi wa mji wa Tunduma kwenye Uwanja wa Mwaka, jana jioni kwenye tamasha hilo lijulikanalo kama Msimu wa Raha Kamili na Serengeti.


DJ Choka (kati) akiwa mtambano akichezesha miziki wa wasanii.


1 comment:

Boneka Full Body said...

nice and good information