Monday, December 13, 2010

WADAU WASOKA WAFURAHIA KOMBE

Mdau wa Soka maarufu nchini na ambaye pia ni Mkurugenzi wa Zizzou Fashions, Tippo Athuman, akifurahia kombe la Challenge kwa kulibeba wakati alipotembelea kambi ya timu hiyo leo asubuhi katika Hotel ya Atriums. Kulia ni Kocha Marsh, akiwa na Poulsen na Dk. Msigwa.

No comments: