Ametangaza hivi, anajiandaa kutoa albamu na singo. Tarehe yake ni 2 13 11 kwa songi na 5 23 11 kwa albamu. Kama hukumpata anamaanisha nini utajiju, kifupi ni kwamba singo anaiachia Feb 13 na albamu Mei 23 mwaka huu.
Albamu na singo vyote vinajulikana kwa jina la Born This Way na sehemu ya mashairi yake yanasema:
"Don't hide yourself in regret, just love yourself and you're set. I'm on the right track baby, I was Born This Way."I'm beautiful in my way, 'cause God makes no mistakes, I'm on the right track baby, I was Born This Way." ...huo ni mpasho tosha kwa wale wanaomcheka na kumsemasema kuhusu tabia yake ya kuvaa kiajabu ajabu na hata kutembea uchi.
Kama hujui, albamu yake ya Fame Monster, mwaka jana iliuza copy milioni 5.8.!! Hebu piga hesabu za kibongobongo kama wasanii wetu wanavyolipwa na mamu shilingi mia 500 kwa tape mara hizo......karibu BILIONI 3 kudadadeeki!

No comments:
Post a Comment