Msanii Alpha (kulia) ambaye ni mshindi wa Project Fame 2010 akipanda sehemu ya miti hiyo
baadhi ya wasnii wa Tusker Project Fame wakiwa na mwanamuziki kutoka Marekani Shaggy
...ishara ya upandaji miti
kushoto ni Snoop wa Angola, 'mzee wa Parakatumba' akiwa na Peter Msechu (pili kushoto) na wasanii wenzao
wasanii na wadau wa muziki, akiwemo Mkurugenzi wa Clouds Media Groud, Joseph Kusaga (katikati)
Wanamuziki watakaotumbuza kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011
ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 1 kwenye viwanja vya Canirval, leo
mapema wameshiriki kwenye zoezi la upandaji miti kwenye msitu wa
Karura (Karura Forest), nje kidogo ya jiji la Nairobi, nchini
Kenya. Zoezi hilo limefanyika pia likiwa ni maalum kumuenzi aliyekuwa mwanaharakati mahiri wa mazingira nchini Kenya
ambaye kwa sasa ni marehemu, Prof. Wangari Maathai wa nchini humo.

No comments:
Post a Comment