Mabondia Deo Njiku wa Morogoro (kushoto) na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro jana kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) unaofanyika jioni Jumapili. Anayeshuhudia ni kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach'
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment