Friday, July 27, 2012

UTAMBULISHO WA www.marcotibasima.blogspot.com

Habari wanabidii wenzangu!
 
Napenda kuitambulisha blog yangu mpya www.marcotibasima.blogspot.com
Blog hii inahusu sanaa ya uchoraji, katuni, komiki n.k .
Humo utapata katuni za siku, simulizi mbalimbali zikiwa katika michoro, habari za wachoraji mbalimbali wa ndani na nje, wa zamani na wa sasa.
 
Pia utapata wasaa wa kukutana na katuni zilizovuma enzi zileeee! (Kama unakumbuka majarida ya SANI, MCHESHI, BUSARA nk)
 
Karibuni sana!
 

No comments: