Saga saga eneo ambalo kwa sasa limekuwa maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi,wasafiri wengi wanaotumia barabara kuu ya mkoa wa Morogoro kuelekea mikoa ya Iringa kabla ya kufika mbuga ya Mikumi, wamekuwa wakisimama hapo na kupata nyama choma kama inavyoonekanika pichani. |
No comments:
Post a Comment