Pages
Home
BIG D GENERAL SUPPLIER
.
.
Sunday, January 12, 2014
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA CHINA WORD BUZ KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu kushoto akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere huku akiwa ameongozana na Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda wakilakiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande, kampuni hiyo imeanzishwa nchini ikiwa na lengo la kuwakomboa na kuwasaidia wafanya biashara wadogo na wa kati nchini Tanzania ili kutafuta masoko na kuwapa taarifa sahihi za masoko na biashara nchini China ambapo wanatarajia kuendesha semina kwa wafanya biashara katika mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Mbeya.
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K. Nyerere mara baada ya kwasili akitokea nchini China na ujumbe wa wafanya biashara wenzake, kushoto ni
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz nchini China
Bwana Cheng Wang Wu
na kulia ni
Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande wa pili kutoka kulia ,
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda wa tatu kutoka kulia na
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz nchini China
Bwana Cheng Wang Wu wa tatu kutoka kushoto wakiwa na wafanya biashara wenzao.
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda
akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment