Mgeni rasmi Mhe. Dk. Abdallah Kigoda (katikati)
akiingia ukumbini.
Mwenyekiti
wa BNN Convention Centre, Paul Koyi (Kushoto) wakijadiliana jambo na Mwakilishi
wa Jameson Tanzania, Adam Kawa kabla ya mgeni rasmi kuingia.
1 Mwenyekiti
wa BNN (Kulia) akitaniana na waziri Kigoda mara baada ya kuwasili
Waziri Kigoda akiwa katika picha ya pamoja na
wawakilishi wa BNN na Jameson
Mwanyekiti wa BNN akiwakaribisha wageni waalikwa
pamoja na kutoa nasaha zake
….. akiwapongeza wafanyakazi wote wa BNN na
wageni waalikwa
Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa (kulia) akimkabidhi zawadi ya kinywaji cha Chivas waziri Kigoda
Waziri Kigoda na wenyeji wake wakifuatilia jambo ukumbini humo
Akiongea na waandishi wa habari
Adam (kushoto) akijadiliana jambo na Mc wa hafla hiyo
Baadhi ya wageni waalikwa wakipozi kupiga picha
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na
Adam
Adam akibadilishana mawazo na baadhi ya
vijana wake
1. …wakipata
vinywaji.
Mmoja wa wageni waalikwa, Awadhi Said akipata
kinywaji
audumu wa vinywaji vya Jameson wakiwajibika
Mwenyekiti wa BNN (Kushoto) akimwelekeza jambo
Waziri Kigoda
Baadhi
ya wageni waalikwa wakipatiwa uduma ya Bites.
Jana jioni kulifanyika hafla ya
uzinduzi wa kituo cha mikutano cha BNN Convention Centre, kilichopo ndani ya jengo
la Quality Centre, Barabara ya Nyerere, jijini Dar es salaam, mgeni rasmi
alikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dr. Abdallah Kigoda (Mbunge).
Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Kampuni
ya Pernord Ricard Sub-Saharan Africa, watoaji wa pombe za Chivas, Ricard, Malibu, Jameson, The Glenlivet, Absolut Vodka,
Ballantines, Kahlua, Havana Club, Beefeater, Martell, Royal Salute na Perriel
Jolet.
(PICHA/STORI: ISSA MNALLY/GPL
No comments:
Post a Comment