MRISHO'S BLOG

Pages

  • Home
  • BIG D GENERAL SUPPLIER

.

.
.

Wednesday, February 19, 2014

WANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA

1Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu waimbaji wote watakaoshiriki watapigiwa kura na mashabiki wa muziki wa injili ili kuleta ushindani kati ya waimbaji lakini pia kuwaachia mashabiki wenyewe wachague ni mwimbaji gani wanamuhitaji katika tamasha hilo badala ya kutumia utaratibu wa mwanzo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari kutoka TV Tumaini ya jijini Dar es salaam. 3 Tamasha la Pasaka ndiyo tamasha pekee kubwa la muziki wa inijili linalofanyika kila mwaka nchini Tanzania likishirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ukanda wa Maziwa Makuu, Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika na limekuwa ni kivutia kikubwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa injili.
Posted by Mrisho's Photography at 5:51 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Up

The Best online Users

Together Tunawakilisha......

Together Tunawakilisha......
Abdallah Mrisho ‘Abby’

Kuchi kuchi John Pro Remix Ug Msk J' Odie

MY PARTNERS!

  • MICHUZI BLOG
    URITHI NGORONGORO: FAHAMU UTARATIBU WA MSIBA NA MAZIKO KWA KABILA LA WAHADZABE.
    16 minutes ago
  • JIACHIE
    WAZIRI WA ARDHI DKT AKWILAPO AKUTANA NA RC MTWARA
    1 hour ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • H@ki Ngowi
    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
    7 years ago
  • HARUSINI
    LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A
    8 years ago
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync
    9 years ago
  • MjengwaBlog
  • THE BEST

Total Pageviews

Translate

Search This Blog

HOT VIDEO

Popular Posts

  • IJUMAA SHOWBIZ!
    Nakaaya Wasanii na vyama vya upinzani: Sugu aandaliwa makubwa CHADEMA, Nakaaya ndani, Kalapina, Madee pia wamo Ni exclusive lakini pia ...
  • MPANGO WA CHANDARUA KLINIKI WAWAFIKIA MWANZA
    Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mary Tesha, akimkabidhi Chandarua kwa mtoto Mwasiti Abdallah(miezi 9) aliyebebwa na Mama yake Geni Elias,kwe...
  • Kitabu kinachoelezea mbinu zinazotumiwa na watu matajiri kufanikiwa kimaisha chazinduliwa Dar
     Kitabu kinachoelezea mbinu zinazotumiwa na watu matajiri kufanikiwa kimaisha chazinduliwa Dar Imeelezwa kwamba watu wengi wameku...
  • Zijue faida za ajabu za karanga!
    Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukw...
  • KIZUNGUZUNGU NI DALILI MBAYA
    You are what you eat! Tofauti na watu wengi wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu haki...
  • CNN HONOURS EXTRAORDINARY DEEDS
    Steve Peifer Peter Kithene December 2007 CNN Worldwide and its global audience paid special tribute last night to seven ordinary peopl...
  • MADAKTARI NCHINI WAMETAKIWA KUITISHA MIKUTANO YA KIJAMII ILI KUJADILI MAGONJWA
    Katibu Mtendaji wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Fabian Magoma  (kulia), akizungumza katika Kongamano la 33 la siku tano la ...
  • "KIFUNGO HURU" LYRICS by C-SIR MADINI
    Track Name: KIFUNGO HURU Singer: C-SIR MADINI lyrics composed by: C-SIR MADINI, KID BWOY & JOSEFLY arranged by: C-SIR MADINI Produ...
  • PUMU HAIPATANI NA VYAKULA VYA MAFUTA
    Kama tunavyosema kila siku, hakuna kitu kibaya kama mgonjwa kutokujua aina ya vyakula anavyopaswa kula na kuviepuka. kwa sababu bila kuwa na...

LOOK FOR YOUR STORY HERE

Awesome Inc. theme. Theme images by tomograf. Powered by Blogger.