Wednesday, March 19, 2014

NDOTO ZA BILL CLINTON ZILIANZIA HAPA?

Picha inaweza kuongea maneno elfu moja. Hapa ilikuwa mwaka 1963 kijana Bill Clinton akisalimiwa na rais wa wakati huo, hayati John F Kennedy!

No comments: