Pages
Home
BIG D GENERAL SUPPLIER
.
.
Monday, April 14, 2014
MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI John Bukuku
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar
es salaam inayoandaa
matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama
anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16 hivi sasa anaendelea vizuri na amesema hali yake imekuwa ikiimarika tofauti na ilivyokuwa Mwanzo, Aliiambia Fullshangwe jana hospitalini hapo kwamba mungu ni mwema na ametenda miujiza yake ndiyo maana amekuwa akiimarika kiafya.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG-MUHIMBILI)
Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira Ally Makuburi akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, kulia ni
Musa
Mkama mwandishi wa gazeti hilo pia.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira
Musa
Mkama
akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili
baada ya kupata ajali mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akiwa na wafanyakazi wake naa baadhi ya ndugu na jamaa wakati walipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jana.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment