Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili kwenye
uzinduzi wa ukumbi mpya wa CCM ambao ni wa kisasa uliopo nje kidogo ya
mji wa Dodoma, leo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma
Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya CRJE Ndugu Hu Bo akihutubia kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la kisasa la mikutano la CCM mjini Dodoma.
Viongozi wakifurahia hotuba ya Mkurugenzi wa CRJE
Balozi wa China Nchi Mhe. LU Youqing akizungumza wakazi wa uzinduzi wa Jengo jipya la Ukumbi wa mikutano la CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe fupi za uzinduzi wa jengo la ukumbi wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Bendera za CCM zikipepea nje ya ukumbi wa jengo jipya la kisasa la mikutano Dodoma Convention Center.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa salaam za kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kuja kutoa hotuba ya ufunguzi wa Ukumbi mpya wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza tufe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa jengo jipya la ukumbi wa kisasa wa mikutano la CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing na Viongozi wa CCM mkoa wa Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa ngazi ya juu CCM wakiwa wamekaa kwenye meza kuu ndani ya ukumbi mpya wa kisasa wa mikutano mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye kwenye ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete(wa nne toka kushoto),Makamu Mwenyekiti wa CCM(Zanzibar) Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya ukaguzi wa jengo.na Balozi Seif Idd (kushoto) Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal,Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk.Mohamed Seif Khatib,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing,Mama Salma Kikwete, Mhe. Anna Abdala na Mzee Pius Msekwa. (Picha zote na Adam Mzee)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma
Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya CRJE Ndugu Hu Bo akihutubia kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la kisasa la mikutano la CCM mjini Dodoma.
Viongozi wakifurahia hotuba ya Mkurugenzi wa CRJE
Balozi wa China Nchi Mhe. LU Youqing akizungumza wakazi wa uzinduzi wa Jengo jipya la Ukumbi wa mikutano la CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe fupi za uzinduzi wa jengo la ukumbi wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Bendera za CCM zikipepea nje ya ukumbi wa jengo jipya la kisasa la mikutano Dodoma Convention Center.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa salaam za kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kuja kutoa hotuba ya ufunguzi wa Ukumbi mpya wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano wa CCM mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza tufe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa jengo jipya la ukumbi wa kisasa wa mikutano la CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo kutoka kwa
Mkurugenzi wa kampunzi ya ujenzi ya CRJE kutoka China Ndugu Hu Bo kama
ishara ya kukabidhiwa jengo la ukumbi wa kisasa la mkutano la Dodoma
Convention Centre.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi mfano wa ufunguo
wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, Katibu Mkuu wa
CCM , Abrahman Kinana, baada ya kuzindua rasmi ukumbi huo leo, mjini
DodomaMwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing na Viongozi wa CCM mkoa wa Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa ngazi ya juu CCM wakiwa wamekaa kwenye meza kuu ndani ya ukumbi mpya wa kisasa wa mikutano mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye kwenye ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete(wa nne toka kushoto),Makamu Mwenyekiti wa CCM(Zanzibar) Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya ukaguzi wa jengo.na Balozi Seif Idd (kushoto) Makamu wa Rais Dk.Mohamed Bilal,Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk.Mohamed Seif Khatib,Balozi wa China Nchini Mhe. LU Youqing,Mama Salma Kikwete, Mhe. Anna Abdala na Mzee Pius Msekwa. (Picha zote na Adam Mzee)
No comments:
Post a Comment