Washiriki wa Mbio za Kilometa 42 katika mashindano ya kimataifa ya Kilimanjaro Marathoni 2016 wakianza mbio zao katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU).
Mshiriki wa pili katika Mbio za Kilimanjaro Marathoni Km 42 upande wa wanaume ,Kenneth Ronoh raia wa Kenya akihitimisha mbio katika uwanja wa Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi baada ya kutumia muda wa saa 2:16:48.
Mshindi wa pili katika Mbio za Kilimanjaro Marathoni Km 42 upande wa
wanawake E Chemweno r raia wa Kenya akihitimisha mbio huku akipiga ishara
ya msalaba katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika baada ya kutumia
muda wa saa 2:44:20.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akikabidhi bahasha ya zawadi kwa washindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016 upande wa wanawake.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye akisalimiana na mshindi wa pili katika mbio za Km 42 E,Chemweno kabla ya kumviha medali.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauyeakikabidhi mfano wa hundi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kwa wanawake katika mbio za Km 42.
Washindi wa kwanza hadi wa 10 wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akikabidhi bahasha ya
zawadi kwa washindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016 km 42 upande wa
wanaume.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauyeakikabidhi
mfano wa hundi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kwa wanawake katika
mbio za Km 42.
.Washindi wa kwanza hadi wa 10 wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akitoa hotuba yake wakiwa ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akizungumza katika hitimisho la mashindano ya kimataifa ya mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment