![]() |
| Aslay akiimba kwa hisia mapema wiki iliyopita katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe |
![]() |
| Wasanii Jux, Nandy, Ben Pol na Maua Sama walipanda pamoja na kuimba nyimbo zao mbalimbali kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi. |
![]() |
| Mr blue akiwapagawisha wakaziwa mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita. |
![]() |
| Chege Chigunda akitumbuiza na madansa wake |
![]() |
| Darasa akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita. |
![]() |
| Squeezer akiburudisha umati wa wakazi wa Njombe waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta wiki iliyopita |
![]() |
| Vanesa Mdee akiwa katika jukwaaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe usiku wa kuamkia jumamosi. |









No comments:
Post a Comment